1. Home
  2. Sho Madjozi
  3. Huku

Huku

Sho Madjozi

Iyo,iyo iyo Iyo,iyo iyo Sho, Madjozi Kwani unataka Madjozi ade ama nini Niahiambe aliki Mbona mwataka nasema napenda lakini Yeye haniambii Haweza akashindwa kifungo ata mia mbili Ela hanipigii, hivi nasema itabidi ongee ana mimi Kini hanisikii Kusubiri mimi kweli sitaweza Unanifeeli, keniwezi kunionyesha Sasa mimi nikihisi unanipenda Hukuniambia na ndio maana nilienda Hukuniambia, huku hukuniambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Niambia, huku hukunambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Hukuniambia kwamba wewe unanipenda Hukuniambia huku huku Hukuniambia kwamba wewe utaniweza Hukuniambia huku huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Sasa ukiniona na watu unakasirika, roho inakunjika Usiku uliniona natembea na arayika Kini hukuniita mpaka nyumbani umenitumia? Aje akipa kini hukunalika Wasa wanasema nionyeshe uacha kutificha Ni lakuni hambiaa Kusubiri mimi kweli sitaweza Unanifeeli, keniwezi kunionyesha Sasa mimi nikihisi unanipenda Hukuniambia na ndio maana nilienda Hukuniambia, huku hukuniambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Niambia, huku hukunambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Hukuniambia kwamba we unanipenda Hukuniambia huku huku Hukuniambia kwamba wewe utaniweza Hukuniambia huku huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Sho, Huku huku Huku huku, Huku Aish, Sho!

Share it


※ Songwriter

Maya Wegerif

https://onlyrics.co/en/sho-madjozi/huku?lang=sw

Submitted on October 17, 2022 by Anonymous

Comments

You need to be logged in to write a comment. Please login or register to continue.
Sho Madjozi
The best of
Sho Madjozi

Release Name or Album Name

Huku

Release Date

March 16, 2018

Language

language Unknown

Spotify

Listen song in spotify service

Words

Most Popular Words in Songs

unanipenda kini niambia huku kwamba mimi sasa hukuniambia wewe hukunambia