1. Home
  2. Diamond Platnumz
  3. Baila

Baila

Diamond Platnumz

Kama unanipenda sana Umarufu weka mbali Na ile nyumba ni ya mama Hivyo usiwaze madale Isiwe kesho madrama Pigiwa simu na tale Eti insta natukanwa Umeshanzisha kware Yani moyo wangu Mwepesi kupenda na mgumu kusahau Moyo wangu Nateseka sana nayempenda kinidharau Moyo wanguuuu Hodari kugawa wakunipa sina Moyo wanguu Ndo maana nasisitiza usije na weee Baila baila baila Baila baila baila Baila baila baila Bailaaa mamaaa Baila baila baila Baila baila baila Baila baila baila Bailaaa mamaaa Mmh Ah muziki vitaaa, hawataki niendelee Hivyo ukipata nafasi, tafadhali niombeee Na nyumbani visa, ndugu zangu wazoeee Itaniumiza nafsi, ikifika musiongee Na mashemeji kwa ofisi mnapocheka nao Tahadhari sana Siunajua wanamuziki vitabia vyao Wamejawa tamaa Na dada zangu, mawifi chunga nyendo zao Usipelekwe mrama Wakikumbia kaniki mara chota nyayo Jua mumeo na kwama Utamu wa bigijii, nikutafuna Usimeze rodaaa, ongeza tu bidii Kunikuna, sio kuniroga Kunikomba zaidii, pika nguna Ntaleta mbogaa, kunipenda ka hivii Kwetu suna, shushie na soda Yani moyo wangu, mwepesi kupenda mgumu kusahau Moyo wangu Nateseka sana nampenda akinidharau Moyo wanguuuu Hodari kugawa wakunipa sina Moyo wanguu Ndo maana nasisitiza usije na wee Baila baila baila (Bailandoooo) Baila baila baila(Baila kipenzii) Baila baila baila(Eeeh Bailandoooo) Baila Mama Baila baila baila (Baila kituuu) Bailaa baila bailaa (Baila me hoi) Baila baila baila(Eeeh) Bailandooo Usiseme love me then u lying Usiseme love me then u lying aah Usiseme love me then u lying Mmmh Usiseme love then u lying aahh Baila baila baila Baila baila baila Baila baila baila Baila mamaaa Baila baila baila(Oooh baila, Baila baila baila(Baila kipenzi) Baila baila baila Baila mamaa --- Baila - Diamond Platnumz

Share it


※ Songwriter

MIRI BEN-ARI, NASIBU ABDUL JUMA ISSAACK

https://onlyrics.co/en/diamond-platnumz/baila?lang=sw

Submitted on November 28, 2022 by Anonymous

Comments

You need to be logged in to write a comment. Please login or register to continue.
Diamond Platnumz
The best of
Diamond Platnumz

Release Name or Album Name

A Boy From Tandale

Record Label

Universal Music (Pty) Ltd.

Release Date

February 16, 2018

Language

language Unknown

Spotify

Listen song in spotify service

Words

Most Popular Words in Songs

usiseme love mamaaa then baila wangu sana moyo lying

Analysis

Analytics audio from this song