Pull up in a Hummer ka' Livondo (Raah!)
Gwena Musikari kama Kombo (Jones!)
Nimepiga suti kama Njonjo (Njonjo)
Lakini trao chini ni Kolombo (Yeaa!)
Mi hua sipendangi uongo (S'taki!)
Me I don't mess with no bombo (S'pendi!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Yeah!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Nilikuwa raundi mwenda huko Donholm (Donholm)
It was a bright day hella normal (Normal)
Ndai, nilikuwa nachunisha Iromo (Iromo)
T-Dat na Sudi, you dunno (You dunno)
And then I spotted this momo (Momo)
Si hivo nd'o mi huita madem wanono (Wanono)
Kidogo wakanigusa migongo (Migongo)
Akadai tushiriki ngono (Ngono)
Ju mi ni Omollo, na nimetoka Bondo (Bondo)
Na kadem kana haga na nyonyo (nyonyo)
Mimi uyo nikakashika mikono (Aye!)
Mimi uyo nikakashika mikono (Mikono)
Then I took her to my crib in Mlolongo (Woo!)
Slay queen akapewa chapo dondo (Woo!)
Wet fry na samaki ya kamongo (Aye!)
Then I told her "Bitch, kaoshe vyombo!" (Argh!)
Pull up in a Hummer ka' Livondo (Raah!)
Gwena Musikari kama Kombo (Jones!)
Nimepiga suti kama Njonjo (Njonjo)
Lakini trao chini ni Kolombo (Yeaa!)
Mi hua sipendangi uongo (S'taki!)
Me I don't mess with no bombo (S'pendi!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Aye!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Aye, salute to my fans huko Bongo (Bongo)
And trust me, hii bado ni kionjo (Kionjo)
Omollo, nimetoka Bondo,
but ikifika biz w'unitambua kama Thiong'o (Aye!)
Nina charms zimetoka Loliondo (What?)
Na kamote nimebeba kwa kiondoo (What?)
Si uchawi ni ngoma napiga promo (Promo)
Omollo na nimetoka Bondo (Bondo)
Niko na ofisi pale Lonhro (Lonhro)
Wash wash tunasafisha mang'ondo (Mang'ondo)
Na bidhaa naziship hadi Congo
Beef ukileta kibare kwa mdomo (Kabaa!)
Madem hunijua kama sponyo (Sponyo)
Yaani blessed you think I was Jomo (Jomo)
Kenyatta, Raila, Kalonzo but I'm Omollo na nimetoka Bondo (Bondo)
Mahater mi nawapea onyo (Oe!)
Hii chuki imefika kikomo (S'taki!)
OG anawapiga misomo (Buda!)
OG anawapiga misomo (Oe!)
Mahater mi nawapea onyo (Get em'!)
Hii chuki imefika kikomo (Raah!)
OG anawapiga misomo (Jones!)
Omollo, nimetoka Bondo. (Hehehehe.)
Pull up in a Hummer ka' Livondo (Raah!)
Gwena Musikari kama Kombo (Jones!)
Nimepiga suti kama Njonjo (Njonjo)
Lakini trao chini ni Kolombo (Yeaa!)
Mi hua sipendangi uongo (S'taki!)
Me I don't mess with no bombo (S'pendi!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Aye!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
Omollo, nimetoka Bondo! (Omollo!)
---
Omollo - Khaligraph Jones
mikono
gwena
kombo
then
kama
sipendangi
uongo
hummer
nimepiga
s'taki
pull
lakini
bombo
yeaa
don't
trao
njonjo
jones
mess
kolombo
misomo
musikari
livondo
omollo
raah
suti
s'pendi
chini
anawapiga
with
nimetoka
bondo