1. Home
  2. Les Wanyika
  3. Sina Makosa

Sina Makosa

Les Wanyika

Aiyo Lelelile Lelelilo ah Mama Hasira za nini wee bwana Hasira za nini wee bwana Wataka kuniua bure baba Wataka kuniua bure baba Yule si wako Nami si wangu Chuki ya nini kati yangu Mimi na wewe Chuki ya nini kati yangu Mimi na wewe Lelelile Lelelilo oh Mama Hasira za nini wee bwana Hasira za nini wee bwana Wataka kuniua bure baba Wataka kuniua bure baba Kwako hayuko Kwangu hayuko Chuki ya nini kati yangu Mimi na wewe Chuki ya nini kati yangu Mimi na wewe Lelelile Lelelilo ah Mama Hasira za nini wee bwana Hasira za nini wee bwana Wataka kuniua bure baba Wataka kuniua bure baba Wewe una wako nyumbani Nami nina wangu nyumbani Chuki ya nini kati yangu Mimi na wewe Chuki ya nini kati yangu Mimi na wewe Nasema sina makosa wee bwana Sina makosa wee bwana Sina makosa wee bwana Sina makosa wee bwana --- Sina Makosa - Les Wanyika

Share it


※ Songwriter

Mohamed Komba, WILLIAM KADIMA

https://onlyrics.co/en/les-wanyika/sina-makosa?lang=sw

Submitted on March 27, 2023 by Anonymous

Comments

You need to be logged in to write a comment. Please login or register to continue.
Les Wanyika
The best of
Les Wanyika

Release Name or Album Name

Sina Makosa

Record Label

Tamasha Corporation Limited

Release Date

September 10, 2010

Language

language Unknown

Spotify

Listen song in spotify service

Words

Most Popular Words in Songs

mimi kuniua mama bwana chuki kati lelelile hasira wewe bure makosa baba nini yangu wataka lelelilo sina

Analysis

Analytics audio from this song