1. Inicio
  2. Diamond Platnumz
  3. Baba Lao

Baba Lao

Diamond Platnumz

S2kizzy baby! Ayoo Lizer Dangote baba lao (Baba lao) Simba baba lao (Baba lao) Chibu baba lao (Baba lao) Mondi baba lao (Baba lao) Eeeh Zombie baba lao (Baba lao) Magufuli baba lao (Baba lao) Makonda baba lao (Baba lao) Wasafi chama lao Ngoma kwa ngoma ni kopo koko Leo ndani twakesha popo Waiter tasambazia moko moko Moja baridi, Moja moto Mmechoka eti? (Ah! Wapi) Mnataka lala? (Ah! Wapi) Tungi limezidi? (Ah! Wapi) Tuzime muziki? (Ah! Wapi) Asa twende kisamugile, sambamba, Hapo vipi inabamba? Inogile inatamba, basi chanika musamba Eeeh!! Wataweza kweli? (Ah! Wapi) Kushindana nasi? (Ah! Wapi) Hata wakiungana? (Ah! Wapi) Matusi kututukana? (Ah! Wapi) Dangote baba lao (Baba lao) Simba baba lao (Baba lao) Chibu baba lao (Baba lao) Mondi baba lao (Baba lao) Eeeh Zombie (Baba lao) Magufuli baba lao (Baba lao) Mwakyembe baba lao (Baba lao) Wasafi chama lao Hajib selema, Adija Selema (Selema) Mondi nyangema, Shimo ametema (ametema) Amefosi bifu mseleleko (Eh! Tumemkwepa) Amebaki masononeko (Eh! Wanamcheka) Kwanza kunja goti (Lee kunja goti) Kisha vua shati (Eh vua shati) Cheza kama monkey (Ai!) Vunja ukidanki danki Eeeh! Tumewachapa (Kidude) Hakichomoki (Kidude) Kimewanasa (Kidude) Wanatapatapa (Kidude) Chizi karogwa tena! Chizi. Chizi karogwa tena eh! Chizi karogwa tena! Chizi. Chizi karogwa tena eh! Chizi karogwa tena! Chizi. Chizi karogwa tena eh! Chizi karogwa tena! Chizi. Chizi karogwa tena eh! Dangote baba lao (Baba lao) Simba baba lao (Baba lao) Chibu baba lao (Baba lao) Mondi baba lao (Baba lao) Eeeh Zombie baba lao (Baba lao) Magufuli baba lao (Baba lao) Majaliwa baba lao (Baba lao) Wasafi chama lao Mzuka ukipanda na hili shati navua (acha uongo) Mzuka ukipanda na hili bukta navua (acha uongo) Jamani navua (acha uongo) Mama navua (acha uongo) Mwenzenu navua (acha uongo) Eeeeh! Kuna Basata Basi napiga Yope (Huwezi) Ooooh! Napiga Yope (Huwezi) Iyobo napiga Yope (Huwezi) Mi napiga Yope (Huwezi) Tale napiga Yope (Huwezi) Mi napiga Yope (Huwezi) Momo napiga Yope (Huwezi) Fungwe napiga Yope (Huwezi) --- Baba Lao - Diamond Platnumz

Compartir


※ Letrista

AZEEZ ADESHINA FASHOLA, CHISOM EZEH, JUMA ABDUL NASIBU, KUMLOGA KIGOMA SIJAENDA

https://onlyrics.co/es/diamond-platnumz/baba-lao?lang=sw

Enviado el 26 de marzo de 2023 Por Anonymous

Comentarios

You need to be logged in to write a comment. Please login or register to continue.
Diamond Platnumz
Lo mejor de
Diamond Platnumz

Nombre Lanzamiento o Álbum

Baba Lao

Record Label

Universal Music (Pty) Ltd.

Fecha de Lanzamiento

8 de noviembre de 2019

Idioma

language Unknown

Spotify

Escuchar en spotify

Palabras

Palabras más usadas en esta canción

kidude shati acha baba chibu navua yope mondi wapi chizi dangote simba tena eeeh huwezi chama selema karogwa zombie magufuli uongo napiga wasafi

Análisis

Análisis de la canción