1. Inicio
  2. Hussein Machozi
  3. Jela

Jela

Hussein Machozi

Bora nirudi jela Bora nirudi jela Bora nirudi jela Bora nirudi jela Miaka kenda imepita tangu nifungwe jela Kosa nilisingiziwa nimekula pesa ya umma Niliacha familia mke wangu na mtoto mmoja Leo Jumatano siamini umepita msamaha wa raisi Katika ya watu ishirini walioachiwa nilikuwepo na mimi Vitu vyangu nilikabidhiwa tayari nishakuwa raia Huko nje sikujua mambo yalivyobadilika Laiti ningelijua bora ningebaki jela ah Jela jela aah (bora nirudi jela) Aa haa nimeshindwa nimeshindwa mie (bora nirudi jela) Kipande cha sabuni 950 (bora nirudi jela) Nambie kilo ya unga itakuaje (bora nirudi jela) Kila nilipopita watu walinishangaa Kumbe mavazi nilovaa wakati wake ushapita Safari yangu haijaisha nyumbani kwangu naelekea Na hamu ya kumuona mke wangu na mwanangu Mwamvita Nilitaka kuzimia mbele macho yangu nilichokiona Pale nyumba yangu ilipokuwa limejengwa bonge la ghorofa Nilijaribu kuuliza mmiliki ni kigogo mmoja Kumbe sio eneo tu pekee anamiliki na yangu familia Jela jela aah (bora nirudi jela) Aa haa nimeshindwa nimeshindwa mie (bora nirudi jela) Kipande cha sabuni 950 (bora nirudi jela) Nambie kilo ya unga itakuaje (bora nirudi jela) Wakati nikizubaa getini mwa lile ghorofa Geti lilifunguliwa ilitoka Lexus mayai iih Dereva alikuwa ni mwanamke Mbona sura yake kama naijua vile Oh my God Ni mama Mwamvita cheki alivyobadilika Hanitambui tena aah inaumaa Hanitambui tena aah bora nirudi jela Jela jela aah (bora nirudi jela) Mh mh nimeshindwa nimeshindwa mie (bora nirudi jela) Kipande cha sabuni 950 (bora nirudi jela) Mh mh nambie kilo ya unga itakuaje (bora nirudi jela) Jela jela aah (bora nirudi jela) Mh mh nimeshindwa nimeshindwa mie (bora nirudi jela) Kipande cha sabuni 950 (bora nirudi jela) Mh mh nambie kilo ya unga itakuaje (bora nirudi jela)

Compartir


https://onlyrics.co/es/hussein-machozi/jela?lang=af

Enviado el 11 de enero de 2023 Por Afasline ,

Comentarios

You need to be logged in to write a comment. Please login or register to continue.
Hussein Machozi
Lo mejor de
Hussein Machozi

Nombre Lanzamiento o Álbum

BEST HITS SONGS OF HM

Record Label

Hussein Machozi

Fecha de Lanzamiento

20 de abril de 2021

Idioma

language Afrikaans

Spotify

Escuchar en spotify

Palabras

Palabras más usadas en esta canción

kipande itakuaje nambie kilo jela sabuni unga yangu nirudi bora nimeshindwa

Análisis

Análisis de la canción