1. Inicio
  2. Wyre
  3. Sina Makosa

Sina Makosa

Wyre

Chorus: Hasira za nini wee bwana Hasira za nini wee bwana Wataka kuniua bure baba Wataka kuniua bure baba Yule si wako Nami si wangu Chuki ya nini kati yangu Mimi na wewe Yule si wako Nami si wangu Chuki ya nini kati yangu Mimi na wewe Chorus: x2 Nasema sina makosa wee bwana Sina makosa wee bwana Yule si wako Nami si wangu Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe Verse: It seem you realy wanna fight Me no want to take away me time Me no fight you You really wanna fight but me nah wan fi spend all me time fighting over something that you know you can't fight You've been a brother fi a long time Nothing coulda made we fi come fight Call a truce coz me nah like how you confused boy youh nah right. Chorus: Hasira za nini wee bwana Hasira za nini wee bwana Wataka kuniua bure baba Wataka kuniua bure baba Yule si wako Nami si wangu Chuki ya nini kati yangu Mimi na wewe Yule si wako Nami si wangu Chuki ya nini kati yangu Mimi na wewe Wewe una wako nyumbani Nami nina wangu nyumbani Chuki ya nini kati yangu Mimi na wewe Chuki ya nini kati yangu Mimi na wewe Nasema sina makosa wee bwana Sina makosa wee bwana Sina makosa wee bwana Sina makosa wee bwana --- Sina Makosa - Wyre

Compartir


※ Letrista

Kevin Waire

https://onlyrics.co/es/wyre/sina-makosa?lang=sw

Enviado el 1 de noviembre de 2022 Por Anonymous

Comentarios

You need to be logged in to write a comment. Please login or register to continue.
Wyre
Lo mejor de
Wyre

Nombre Lanzamiento o Álbum

10 Years Wiser

Record Label

Music Copyright Society of Kenya

Fecha de Lanzamiento

28 de agosto de 2009

Idioma

language Unknown

Artista

• Wyre

Spotify

Escuchar en spotify

Palabras

Palabras más usadas en esta canción

nami chorus kuniua wako hasira bwana wewe mimi nini kati yangu time bure sina yule baba chuki wangu makosa fight wataka

Análisis

Análisis de la canción